Imewekwa: September 22nd, 2022
Wawakilishi Toka Ubalozi wa Finland Tanzania na UNICEF Jana tarehe 21.09.2022 wamefanya ziara katika kitongoji cha mkola,kata ya mkola wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya kwa lengo la kushuhudia shughuli ...
Imewekwa: September 20th, 2022
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Child Support Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Christian Blind Mission wamekabidhi msaada wa baiskeli {Viti Mwendo} 5 za walemavu katika shule ya msingi Kibaoni ...
Imewekwa: September 16th, 2022
KATIBU Tawala wa wilaya ya Chunya, Anaklet Michombero amewataka maafisa elimu pamoja na walimu wote kuwa wabunifu katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akizungumza katika halfa ya uzinduzi wa miongoz...