Imewekwa: May 14th, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Chunya imefanikiwa kuingiza kiasi cha shilingi bilioni 4.1 kutokana na mapato ya ndani kwa kipindi cha robo tatu cha mwaka wa fedha unaoelekea ukingoni 2021/22.
Mapato hayo...
Imewekwa: May 13th, 2022
Wauguzi na wakunga hospitali ya wilaya ya Chunya wameadhimisha siku yao kwa kuwapatia wagonjwa zawadi mbalimbali.
Maadhimisho ya siku ya Wauguzi na wakunga duniani hufanyika kila inapofika Mei 12 k...
Imewekwa: May 10th, 2022
MBUNGE wa jimbo la Lupa Mhe Masache Kasaka amesema, kukamilika kwa zahanati ya kijiji cha Itumba iliyopo Kata ya Chalangwa Wilayani Chunya kutawafanya wakazi wa Wilaya hiyo kuimarika afya zao kwa kupa...