Imewekwa: May 5th, 2023
Watendaji wa kata, waratibu wa Lishe wa kata pamoja na kamati za chakula shuleni wilayani Chunya wametakiwa kuhakikisha katika msimu huu wa mavuno Chakula cha kutosha kinakusanywa kinachoweza kukidhi ...
Imewekwa: May 5th, 2023
Ujenzi wa Nyumba ya Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Chunya umefikia kiwango wa lenta ambapo ni karibu asilimia 40 ya ujenzi na fedha zilizotumika mpaka Sasa ni zaidi ya milioni 40 kati ya...
Imewekwa: May 3rd, 2023
Zaidi ya asilimia 80 ya shule za msingi na sekondari wilayani Chunya zinatoa Chakula Cha Mchana kwa wanafunzi ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha suala la lishe linazingatiwa wilayani Chunya huku asilimia...