• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

Elimu ya Msingi

  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MBALIMBALI – IDARA YA ELIMU MSINGI

Kazi za kila siku.

Idara ya Elimu Msingi inatekeleza majukumu mbalimbali ya kila siku kama ifuatavyo: -

  • Kusimamia utekelezaji wa sera ya Elimu Msingi bure
  • Ukusanyaji wa takwimu mbalimbali zinahusu elimu msingi na elimu nje ya mfumo rasmi (MEMKWA)
  • Kushughulikia mahitaji na maslahi ya walimu ikiwa ni Pamoja kuhakikisha wanalipwa malipo ya likizo, uhamisho na stahiki zote za kisheria.
  • Kutembelea na kukagua miundombinu ya kutolea elimu mfano madarasa, Nyumba za walimu na Samani
  • Kufanya ufuatiliaji na kufanya ukaguzi na kutoa ushauri wa kitalaamu na kitaaluma pindi unapohitajika.

Kuratibu uhamisho wa wanafunzi wanaohama na kuhamia katika shule zetu zote 75 za Msingi zilizopo Wilaya ya Chunya kwa njia ya mfumo wa PReM

Kusimamia utekelezaji wa majukumu ya kila siku kwa Maafisa Elimu Kata, Walimu wakuu,na Walimu kwa ujumla kwa kuzingatia sera na miongozo ya Elimu.

Kusimamia matumizi sahihi ya fedha za ruzuku za uendeshaji wa shule (Capitation) pamoja na fedha za miradi na kuhakikisha malipo yote yanafanyika kimfumo (FFARS) kwa mujibu wa miongozo ya fedha inayotolewa, na kuhakikisha kila shule inafunga taarifa za mwezi (reconciliation) kwa wakati.

Kupokea, kusikiliza, na kushauri/kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali za walimu pamoja na jamii zihusuzo Elimu kadri iwekekanavyo.

Kutoa ushirikiano kwa Idara, vitengo na taasisi mbalimbali kwa masuala yote yahusuyo Elimu ya Msingi kila yanapohitajika.

  • Idadi ya Shule
  •  
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ina jumla ya Shule za Msingi 75 ikiwa Shule 73 zinamilikiwa na Serikali na Shule 2 za mchepuo wa kingereza zinamilikiwa na watu binafsi.
  • Pia Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ina jumla ya Vituo Shikizi 20 ambavyo vinafanya kazi na kuna wanafunzi wa elimu ya awali, darasa la kwanza na Darasa la pili. Aidha vituo hivyo vimejengwa madarasa mapya 65 kwa fedha za Uviko-19
  • Mpaka sasa kuna jumla ya wanafunzi 51,547 ikiwa ni wavulana 25,931 na wasichana 25,616.
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kuna jumla ya walimu 570 ikiwa ni wanaume 317 na wanawake 253.
  • Matokeo kwa Miaka 3 mfululizo kwa darasa la Saba na darasa la Nne
  • Matokeo kwa darasa la Saba na darasa la Nne kwa miaka mitatu mfululizo ni kama inavyoainishwa kwenye jedwali hapo chini
  • Matokeo ya darasa la Saba kwa miaka 3 mfululizo 

Mwaka

 

Waliosajiliwa

Waliofanya

Waliofaulu

Asilimia %

Nafasi Kimkoa

Wav

Was

Jumla

Wav

Was

Jumla

Wav

was

Jumla

2019

1367

1556

2923

1246

1485

2731

1150

1343

2493

91.29

2/7

2020

1757

1943

3700

1539

1816

3355

1391

1668

3059

91.18

1/7

2021

1867

2125

3992

1693

2028

3721

1465
1819
3284
88.3
      3/7
  • Matokeo kwa darasa la Nne kwa miaka 3 mfululizo 

Mwaka

 

Waliosajiliwa

Waliofanya

Waliofaulu

Asilimia %

Nafasi Kimkoa

Wav

Was

Jumla

Wav

Was

Jumla

Wav

was

Jumla

2019

2978

3085

6063

2729

2736

5465

2543

2642

5185

94.88

3/7

2020

4093

3731

7824

3121

3131

6252

2944

3011

5955

95.25

1/7

2021

3657

3501

7158

2963

3055

6018

2556
2752
5308
88.2




MATUMIZI YA KALENDA ZA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI

KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022.doc

CURRICULUM IMPLEMNETATION CALENDAR FOR LANGUAGE SUBJECTS 2022.docx

CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR TECHNICAL SUJECTS 2022.docx

CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR SOCIAL SCIENCE SUBJECTS 2022.docx

CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR NATURAL SCIENCE SUBJECTS 2022.docx

CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR BUSINESS SUBJECTS 2022.docx

CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR AESTHETICS SUBJECTS 2022.docx

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • MAAFISA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI KUNOLEWA ZAIDI JUU YA AFYA YA AKILI.

    April 16, 2025
  • DC CHUNYA NA SONGWE WAPELEKA OMBI MOJA KWA WAZIRI.

    April 04, 2025
  • TARAFA YA KIPEMBAWE CHUNYA YAJIDHATITI KUWATUMIKIA WANANCHI.

    March 21, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.