HUDUMA YA AFYA
Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ina vituo 24 vinavyotoa huduma za kinga na tiba. Kati ya hivyo kuna Hospitali (1) ambayo ni Hospitali ya wilaya ya Chunya.Halmashauri ina Vituo vya Afya vitatu (3)ambazo zote ni serikali na Zahanati 21 kati ya hizo za Serikali ni 20, na binafsi moja (1).
MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.