KITENGO CHA UCHAGUZI.
Kitengo hiki ni miongoni mwa vitengo sita katika muundo mpya wa Serikali za mitaa uliohuishwa mwaka 2011.
Kitengo kinapaswa kuwa na watendaji wa siku kwa siku watatu (03), lakini kutokana na uhaba wa watumishi mpaka sasa yupo mtumishi mmoja ambaye ndiye mratibu mkuu wa masuala yote ya Uchaguzi Wilayani.
Ili kurahisisha shughuli zake hasa kipindi cha uchaguzi, hufanya kazi kwa kushirikisha watendaji wa Idara mbalimbali ikiwa ni pamoja na watendaji wa kata zote na vijiji.
MAJUKUMU YA MKUU WA KITENGO.
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.