Imewekwa: January 18th, 2025
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ndugu Tamim Kambona ametoa rai kwa walimu Wakuu na Walimu wa madarasa ya elimu ya awali kwamba mwaka huu 2025 hatak...
Imewekwa: January 14th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mhe. Mbaraka Alhaj Batenga ametoa siku kumi kwa mkandarasi na kamati ya ujenzi wa shule Sekondari Nkung’ungu kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na miundombinu ya shule...
Imewekwa: January 10th, 2025
Katibu tawala Mkoa wa Mbeya ndugu Rodrick Mpogolo amewataka wakurugenzi watendaji wa Halmashauri zingine za Mkoa wa Mbeya kwenda kujifunza katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kujua ni kwa nam...