Imewekwa: February 13th, 2022
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imefanya ziara ya siku nne ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri hiyo.
Kamati hiyo chini ya ...
Imewekwa: January 21st, 2022
PICHANI: Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Chunya Mh. Bosco Mwanginde Akifungua Kikao Cha Baraza la Madiwani
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Chunya limepitisha rasimu ya ...
Imewekwa: January 17th, 2022
MKUU wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chunya na viongozi wake kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya Sangambi.
Homera ametoa pongezi hi...