Imewekwa: October 15th, 2024
Meneja uendeshaji wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Tumbaku Chunya (CHUTCU) Ndugu Juma Shinshi amesema wamejipanga kuanza ziara ya siku mbili kuhamasisha wakulima wananchama wa Chama hicho kujiandikisha...
Imewekwa: October 9th, 2024
Kamati ya Fedha, Uongozi na mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Chunya huku usimamizi mzuri wa Mkurugenzi Mtendaji pa...
Imewekwa: October 8th, 2024
Maafisa waandikishaji wa Daftari la Mkazi wilaya ya Chunya watakiwa kuwa wazalendo na wenye kulipenda Taifa lao jambo litakalofanya wajitume kutekeleza jukumu la kuandikisha wapiga kura kwenye Daftari...