Imewekwa: October 25th, 2019
WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameutaka ubalozi wa Tanzania nchini Urusi uratibu mipango ya wafanyabiashara wa Urusi wanaokusudia kuja nchini kuwekeza kwa kuwaunganisha...
Imewekwa: October 17th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila leo amezindua Chanjo ya magonjwa ya Surua, Rubella pamoja na Polyo katika kijiji cha Godima wilayani Chunya. Uzinduzi huo umefanyika kimkoa katika wilaya hiy...