Imewekwa: July 23rd, 2022
Mahakama ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha Change Mohammed Mawanga(32) mkazi wa Mlimanjiwa Kata ya Mbugani kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri ...
Imewekwa: July 21st, 2022
Mbunge wa Jimbo la Chunya, Mheshimiwa Masache Kasaka ameizindua zahanati ya Godima iliyopo Kata ya Chokaa Wilaya ya Chunya.
Akizindua zahanati hiyo, Mhe Kasaka {Mb} amesema lengo ni kuhakikisha yal...
Imewekwa: July 16th, 2022
WANUFAIKA wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu inayotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Chunya wametakiwa kutumia mikopo hiyo kwa makini ili iwaletee manufaa....