Imewekwa: September 11th, 2024
Taarifa mbalimbali kuhusu Uchaguzi huu zitaendelea kutolewa kupitia vyombo vyetu vya habari pamoja na mitandao ya kijamii...
Imewekwa: September 10th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera amewapongeza viongozi wa Wilaya ya Chunya kwa matumizi mazuri ya mapato ya ndani katika ujenzi wa miradi ya Maendeleo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa St...
Imewekwa: September 4th, 2024
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa kupitia Mkoa wa Mbeya ndugu Ndele Mwaselela amesema viongozi wa Wilaya ya Chunya wametekeleza kwa vitendo maagizo matano ya Rais wa Jamhuri...