Imewekwa: August 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mbaraka Alhaji Batenga amesema kwa mwaka ujao wa fedha 2024/2025 Halmashauri ya wilaya ya Chunya ihakikishe inakusanya Bilioni 10 ili kuendana na kasi ya kuleta maendeleo...
Imewekwa: August 28th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mhe. Bosco Mwanginde amewataka watendaji wa Halmashauri hiyo kuhakikisha fedha ambazo Halmashauri inadai kwa wadau zinafualiwa ili zilipwe haraka na baada...
Imewekwa: August 24th, 2024
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava amekabidhi leseni 11 za uchimbaji madini kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chunya ndugu Tami...