Imewekwa: January 15th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mrakibu mwandamizi wa Uhamiaji Mhe Mbarak Alhaj Batenga amefanya mazungumzo na Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Mbeya ili kupata ufumbuzi wa...
Imewekwa: January 15th, 2024
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Mhe Ramadhan Shumbi amewata wananchi wa kijiji cha Lola kuendelea kuvumilia mpaka pale mifumo ya kifedha itakapokuwa sawa Milioni 50 iliyotolewa na...
Imewekwa: January 15th, 2024
Kamati ya fedha Uchumi na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Chunya imewataka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupeleka bajeti zao pamoja na mapendekezo ya miradi wanayoitekeleza kwe...