Imewekwa: October 13th, 2023
Katibu Tawala wilaya ya Chunya ndugu Anackleth Michombero amewataka na kuwasisitizia wasimamizi wa miradi ya SEQUIP (Secondary Education Quality Improvement) kuhakikisha shamani zinazotumia mbao...
Imewekwa: October 12th, 2023
Mbunge wa Jimbo la Lupa Mhe Masache Njelu Kasaka amewataka viongozi wa serikali ngazi ya vijiji na kata kuacha mara moja kuwakamata wananchi kwa kuwaonea jambo ambalo sio lengo la serikali ya awamu ya...
Imewekwa: October 10th, 2023
Mbunge wa Jimbo la Lupa Mhe Masache Njelu Kasaka amechangia mifuko mia mbili na thelasini (230) ya Saruji katika kata ya Chalangwa ili kuungana na wananchi kuhakikisha miradi ya maendeleo inakamilika ...