Imewekwa: September 20th, 2022
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Child Support Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Christian Blind Mission wamekabidhi msaada wa baiskeli {Viti Mwendo} 5 za walemavu katika shule ya msingi Kibaoni ...
Imewekwa: September 16th, 2022
KATIBU Tawala wa wilaya ya Chunya, Anaklet Michombero amewataka maafisa elimu pamoja na walimu wote kuwa wabunifu katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akizungumza katika halfa ya uzinduzi wa miongoz...
Imewekwa: September 9th, 2022
Mwenge wa uhuru umezindua, umetembelea na kuweka mawe ya msingi katika miradi sita ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.6 wilayani chunya.
Akizungumza katika maeneo ya miradi, Kiongozi ...