Imewekwa: March 10th, 2023
Halmashauri ya wilaya ya Chunya inataraji kufanya vizuri katika mavuno ya zao la Tumbaku msimu wa 2022/2023 kwani Mashamba yanayofanyiwa tathimini na timu ya wadau wa tumbaku mkoa wa Kitumbaku Chunya ...
Imewekwa: March 3rd, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Mhe. Bosco Mwanginde amewataka madiwani wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji wa mapato kwenye maeneo yao kwani ajenda ya ukusanyaji wa m...
Imewekwa: February 28th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe. Mayeka Simon Mayeka amewataka maafisa ugani na kilimo wilayani chunya kuwaelimisha wananchi kutunza Chakula ili kuepuka changamoto za kukosekana kwa chakula mwaka ujao ja...