Imewekwa: October 1st, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Mhe Bosco S. Mwanginde amewataka wazee waliopo wilayani Chunya kuacha kuwaogopa vijana ili kunusuru Taifa kwani Matokeo ya kuwaogopa vijana ni uharibifu n...
Imewekwa: October 1st, 2023
Mbunge wa jimbo la Lupa Mhe. Masache Njeru Kasaka amewataka waumini wa dini zote wilayani Chunya kuendelea kuombea Taifa ili Amani iliyopo iendelee kudumu zaidi jambo ambalo litasaidia serika...
Imewekwa: September 29th, 2023
Halmashauri ya wilaya ya Chunya imejipanga kushirikisha jamii kuibua na miradi ya maendeleo yenye maslahi mapana kwa jamii jambo litakalo hakikishia ulinzi na usalama wa miradi hiyo kwani jamii yenyew...