Imewekwa: April 4th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Ndg Albert Chalamila leo siku ya Alhamisi Tarehe 4/4/2019 katika ukumbi wa Mkapa uliopo jijini Mbeya amezindua rasmi mfuko wa bima ya Afya iliyoboreshwa.
Katika uzinduzi...
Imewekwa: April 1st, 2019
Waziri wa madini Mheshimiwa Dotto Biteko ameagiza wafanyakazi wa ofisi ya madini wilayani Chunya kusimamishwa kazi wote nakufikishwa katika vyombo vya kisheria kwa kosa la uhujumu uchumi.
Wafanyaka...
Imewekwa: February 28th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Albert Chalamila amefanya ziara ya siku tatu katika wilaya ya Chunya ambapo aliweza kutembelea migodi ya dhahabu, kuwatembelea waendeha bodaboda na kuwapa elimu ju...