Imewekwa: September 15th, 2023
Mwenge wa uhuru umekamirisha ratiba yake kimkoa wilayani CHUNYA
Wilaya ya Chunya imekalimisha Majukumu makubwa mawili ndani ya siku mbili tarehe 13 na 14/09/2023 ambapo wilaya ilipokea mwenge...
Imewekwa: September 11th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe Mayeka S Mayeka amewataka wananchi waliojenga, kuishi na kufanya shughuli mbalimbali kwenye njia za mapitio ya wanyama (Shoroba) na kwenye hifadhi ya misitu kutoka maeneo ...
Imewekwa: September 8th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe Mayeka S Mayeka amewataka wananchi wa wilaya ya Chunya kila mmoja kushiriki katika kutunza, kulinda na kuendeleza vyanzo vya maji vilivyopo wilayani humo kwa manufaa ya vi...