Imewekwa: January 21st, 2023
LUALAJE
MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Mhe. Bosco Mwanginde amewataka wananchi wa wilaya ya Chunya kutunza, kulinda na kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika...
Imewekwa: January 18th, 2023
Maafisa Elimu kata, watendajiwa kata na vijiji Halmashauri ya Wilaya ya Chunya wametakiwa kuwafuatilia na kujua walipo wanafunzi wote wa kidato cha kwanza hambao bado hawajaripoti shuleni hadi sasa.
...
Imewekwa: January 15th, 2023
Mkuu wa wilaya ya chunya Mhe Mayeka Saimon Mayeka amewataka walimu kuvitumia na kuvitunza vizuri vishikwambi walivyokabidhiwa ili vidumu kwa muda mrefu na kuendelea kurahisisha majukumu yao ya kila si...