Imewekwa: February 8th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera amesema serikali inataka wawekezaji wengi waendelee kuwekeza kwenye sekta ya madini ili kuendelea kuleta tija katika uzalishaji wa madini huku akisisitiza...
Imewekwa: February 2nd, 2023
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mh. MAYEKA SIMON MAYEKA amewataka wananchi waliojitokeza katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya sheria kutofumbia macho kesi za ubakaji na ulawiti kwakuwa zinaathari mbaya k...
Imewekwa: February 1st, 2023
KATIBU Tawala wilaya ya Chunya Bw. Anaklet Michombero amewataka Watendaji wa kata na vijiji wilayani chunya kuhakikisha shule zote ndani ya wilaya zinatoa chakula na lishe kwa wanafu...