 Imewekwa: November 17th, 2022
 
            Imewekwa: November 17th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Chunya ipo mbioni kukamilisha Ujenzi wa Shule maalumu ya Mchepuo wa Kiingereza, 'English Medium', Shule hii imejengwa kata ya Itewe kijiji cha Sinjilili na ujenzi wa shule hiyo unatekelezwa kwa kupitia mapato ya ndani ya halmashauri

	
Muonekano wa majengo Katika Shule ya English Medium, ujenzi bado unaendele

 
                              
                              
                            Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.