• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

MAHAKAMA CHUNYA IMEJIPANGA KUMALIZA MASHAURI YOTE NDANI YA MUDA

Imewekwa: February 2nd, 2026

Hakim Mkazi mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Chunya Mhe James Julius Mhanusi amesema Mahakama ya wilaya ya Chunya kwa mwaka huu wa mahakama imejipanga kuhakikisha inamaliza mashauri yote yatakayofunguliwa ndani ya mwaka, jambo litakalopelekea kumaliza mwaka wakiwa na mashauri sifuli.

Ametoa kauli hiyo mapema leo 02.02.2026 katika viwanja vya msufini vilivyopo kata ya Lupa tarafa ya kipembawe wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya Sheria Nchini ambapo Halmashauri ya wilaya ya Chunya imesherekea wiki hiyo katika viwanja hivyo

“Mwaka jana tumehama na mashauri machache sana kwa mahakama ya wilaya, Mahakama zetu za Mwanzo walihama na mashauri ziro, Mahsuari Ziro maana yake hawakuhama na shauri hata moja yaani mashauri yote yaliyofunguliwa kwenye mahakama za mwanzo Chunya yalimalizaka ndani ya mwaka husika, Hivyo na sisi Mahakama ya wilaya tumejipanga kumaliza mwaka huu tukiwa tumesikiliza mashauri yote tofauti na mwaka uliopita ambapo Mahakama ya wilaya ilihama na mashauri 73” Alisema Mhe Mhanusi

Aidha Mhe Mhanusi amesema katika kuadhimisha kilele cha wiki ya Sheria, wamewatembelea wagonjwa waliokuwepo katika kituo cha Afya cha Lupa na kuwakabidhi vitu mbalimbali ikiwa ni kuwajali na kushiriki nao katika nyakati zao za kuugulia jambo ambalo linalopaswa kuwa funzo na kwa wengine kukumbuka kuwajali wengine kutokana na kidogo ambacho Mungu amewajalia.

Naye Bi Kissa Ngoloke kutoka TAKUKURU wilaya ya Chunya amewataka wanaChunya kuwa wazalendo na wenye maadili katika maeneo yote akitaja mchango mkubwa wa Mambo hayo mawili katika kupambana na Rushwa huku akisisitiza kwamba Rushwa ndiye adui Mkubwa wa haki, hivyo ametaka wanaChunya kuendelea kupambana na Rushwa kwa nguvu.

Wakili wa kujitegemea Mhe Jacqueline Massawe akimuwakilishi Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) amesema wanachunya waendelee kuwatumia na kuwaamini mawakili katika shughuli zao mbalimbali jambo litakaloendelea kulinda haki zao na kupelekea maendeleo makubwa ya mtu mmoja mmoja na hatimaye Taifa kwa ujumla

Sherehe za Kilele cha wiki ya Sheria Nchi zimeadhimishwa kwa shughuli mbalimbali ikiwepo kutoa Elimu ya sheria kwa wananchi, kufanya matendo ya huruma na mambo mengine mengi. Katika wilaya ya Chunya sherehe zimefanyika kata ya Lupa eneo la Msufini, huku kauli mbiu ya Maadhimisho hayo ikiwa ni “Mchango wa Mahakama katika maendeleo ya Taifa”

Mhe James Mhanusi Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Chunya akizungumza wakati wa Kilele cha wiki ya Sheria Lupa

Baadhi ya Viongozi wakiwa kwenye picha ya Pamoja wakati wa Kilele cha wiki ya Sheria wilayani Chunya

Matangazo

  • AJIRA ZA MKATABA KWA WALIMU January 20, 2026
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • MAHAKAMA CHUNYA IMEJIPANGA KUMALIZA MASHAURI YOTE NDANI YA MUDA

    February 02, 2026
  • CHUNYA YAMSHUKURU MHE RAIS KUWAKUMBUKA WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUM

    January 27, 2026
  • KIFUATACHO CHUNYA SASA NI KAZI

    January 20, 2026
  • ‘UZOEFU UWEKWE PEMBENI’

    January 19, 2026
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.