Chimbuko la neno Chunya limetokana na kijito kidogo cha maji kilichokuwa karibu na makao makuu ya kwanza ya wilaya ya
Chunya.Kijito hicho kilitokea hasa kipindi cha mvua(kifuku) na hii ni kutokana na hali ya hewa ya Chunya ambayo ina asili
ya ukame.Makabila ya asili kabisa ya wakazi wa Chunya ni waguruka,wakimbu ambao Zaidi walikuwa wakiishi maeneo ya
kipembawe na wabungu ambao waliishi katika bonde la mto Songwe, lakini ndani ya haya makabila matatu kulikuwa na makabila
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.