Misingi Mikuu (Core values)
Halmashauri ya Wilaya ya Chunya katika utekelezaji wa Mpango mkakati wake inazingatia mambo yafuatayo:-
Ufanyaji kazi kwa Uadilifu (Integrity)
Ufanyaji kazi kwa pamoja (Team work)
Ufanyaji kazi kwa Uwai {Transparency}
Uwajibikaji (Accountability and Responsibility)
Ubunifu (Innovation and Creativity)
Ukarimu (Hospitality)
Ufanyaji kazi kwa Ushirikiano {Partnership}
Kufanya kazi kwa Ufanisi {Efficiency and Effectiveness}
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.