Imewekwa: December 14th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya anapenda kuwajulisha kuwa tume ya Uchaguzi itaanza kutekeleza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga Kura katika Wilaya ya Chunya kua...
Imewekwa: November 27th, 2019
Hongera kwa Idara ya Afya na kwa Halmashauri ya Chunya kwa ujumla.
Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Chunya na kulia ni Mganga mkuu wa wilaya ya Chunya kwa pamoja wakimkabidhi Mh. Marypri...
Imewekwa: November 10th, 2019
Zoezi la Uchukuaji fomu, Urudishaji fomu, Uteuzi, Pingamizi na Rufaa lilianza tarehe 29/10/2019 na kumalizika tarehe 9/11/2019.
Katika zoezi hilo jumla ya wananchi 555,036 kutoka Vyama mbalimbali v...