Imewekwa: June 3rd, 2022
Wananchi wa Kata ya Matwiga Wilaya ya Chunya jana wameungana kuadhimisha siku ya mazingira Duniani inayofanyika Juni 5 kila mwaka
Madhumuni ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ni kuhamasish...
Imewekwa: May 28th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Z. Homera amewaasa wakulima kufuata mbinu bora za kilimo zinazotolewa na maafisa kilimo na kuacha kuchanganya tumbaku ili soko liweze kwenda vizuri.
Homera ameyasema ...
Imewekwa: May 20th, 2022
WATENDAJI wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Chunya wamepatiwa mafunzo na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kupitia mradi wa PS3+ uliofadhiliwa na watu wa Marekani.
...