Imewekwa: January 15th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Juma Homera ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwa kusimamia kikamilifu na kufanikisha Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi wa vyumba vya madarasa inayotekelezwa kupitia ...
Imewekwa: January 4th, 2022
“Kuanzia tarehe 01/07/2022 fedha zote zinazo kusanywa lazima ziende banki alafu zitatumika zikitoka banki lakini ni lazima ziingizwe kwenye mfumo”.
Haya yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa halmasha...
Imewekwa: December 27th, 2021
Toka tumeanza kukagua na kutembelea Miradi hakuna miradi iliyoenda vizuri kama hapa Chunya.
Hayo yamebainiwa wakati wa ziara ya kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoa wa Mbeya walipo tem...