Baada ya mwenge wa Uhuru jana kupokelewa kimkoa na hatimaye kiwilaya, leo 04.09.2019, Mh. MaryPrisca Mahundi Mkuu wa wilaya ya Chunya naye pia amekabidhi kwa Mkuu wa wilaya ya Mbeya vijijini Mh. Wiliam Ntinika.Hii ni baada ya mwenge wa Uhuru kumaliza kutembelea na kufungua miradi mbalimbali hapa wilayani kwetu Chunya.
Kufahamu miradi iliyotembelewa na kufunguliwa na Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2019 wilayani Chunya pamoja na thamani yake, endelea kuwa karibu na tovuti yetu.(www.chunyadc.go.tz)
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.