Hodiiii...karibuuuu.....
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh. Mwanri leo 02/09/2019 amekabidhi mwenge wa uhuru kwa Mh.Albert Chalamila, Mkuu mkoa wa Mbeya.
Baada ya Mh. Chalamila kuupokea mwenge wa Uhuru, alimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Chunya Maryprisca Mahundi tayari kukimbizwa na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya ya Chunya.
KAULI MBIU YA MWENGE WA UHURU 2019 NI:- Maji ni Haki ya kila mtu, Tutunze Vyanzo Vyake na Tukumbuke kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.