Imewekwa: April 22nd, 2022
MKUU wa Wilaya ya Chunya Mh Mayeka Simon Mayeka ametoa wito kwa wakazi wote wa Wilaya hiyo kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika zoezi la ubainishaji wa barabara za Mitaa.
Mayeka ameyasema hayo...
Imewekwa: April 21st, 2022
WAJUMBE wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wamefanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Chunya katika kipindi cha robo ya tatu....
Imewekwa: March 24th, 2022
MKUU wa Wilaya ya Chunya Mh. Mayeka Simon Mayeka Machi 24, 2022 amefungua Mafunzo kwa Makarani watakaotekeleza zoezi la Anwani za Makazi na Postikodi katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.
Mafun...