Mkurugenzi Mtendaj Halmashauri ya wilaya ya Chunya Bi. Sophia Juma Kumbuli anapenda kuwakumbusha wakazi wa Chunya kuendelea kuchukua tahadhari ya gonjwa hatari la korona wakati wakiendelea kutekeleza majukumu yao ya kila siku ya kulijenga Taifa letu.
Tahadhari hizo ni pamoja na kuvaa barakoa, kunawa mikono kwa maji tiririka na kwa sababuni na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.