Imewekwa: December 15th, 2023
Katibu tawala Wilaya ya Chunya ndugu Anakleth Michombero amewataka maafisa mifugo kufanya kazi zao kwa ufanisi zaidi na kuwafikia wafugaji wengi kwa wakati ili kuhakikisha lengo la serikali ya Jamhuri...
Imewekwa: December 12th, 2023
Halmashauri ya wilaya ya Chunya imeendelea kuongoza mkoa wa Mbeya kwenye ukusanyaji wa mapato ambapo kwa sasa imefikia asilimia tisini na nane (98%) ya makusanyo ya mapato kulingana na makadirio yaliy...
Imewekwa: December 10th, 2023
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ndugu Tamimu Kambona akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Chunya amewataka wananchi kushirikiana kwa pamoja kuwafichua watu wanaotenda matendo ya ukat...