Imewekwa: May 16th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imeibuka mshindi katika mashindano ya Afya na Usafi wa mazingira ambayo huratibiwa na Wizara ya Afya ambayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka nchi nzima...
Imewekwa: May 13th, 2024
Afisa elimu Mkoa wa Mbeya Mwalimu Kiduma Mageni amewafunda walimu wa Shule za Msingi na awali wilayani Chunya kwakuwambia lazima wayapende mazingira yao ya kazi kwani muda mwingi wa Maisha yao hutumia...
Imewekwa: May 9th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mbarak Alhaji Batenga akimuwakilisha mkuu wa Mkoa wa Mbeya amewapongeza wachezaji wa timu ya KENGOLD kwa kurudi nyumbani na Ushindi mkubwa na kuuheshimisha Mkoa wa Mbeya,...