Imewekwa: October 11th, 2017
Kufuatia Opereshi Kabambe ya kuondoa wavamizi katika maeneo ya hifadhi wilayani Chunya wakazi zaidi ya 600
waliokuwa wanaishi kinyume cha sheria wameondolewa kwenye maeneo ya hifadhi.
 ...
Imewekwa: May 22nd, 2017
Mweka Hazina wa Halmasahuri ya Wilaya Chunya ndg. Zephania Mgema aliwasilisha taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa hesabu za Serikali(CAG) katika kikao cha kamati ya Fedha, Uchumi na Mipango kilicho...
Imewekwa: May 5th, 2017
wananchi wote mnaombwa kufika bila kukosa katika ofisi za Halmashauri ili kuweza kujiandikisha na kupewa vitambulisho vya taifa....