Imewekwa: July 13th, 2022
WAHESHIMIWA madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya wamewapongeza Wataalamu wa Halmashauri na kuwataka kuhakikisha wanatekeleza miradi yote inayoendelea katika wilaya hiyo kwa ubora na kuikamilish...
Imewekwa: June 30th, 2022
Mkurugenzi wa kampuni ya tumbaku ya Amy Holdings, Ahmed Mansoor Huwel ambaye pia ni mnunuzi wa tumbaku kupitia kampuni yake tanzu ya Mkwawa Leaf ameahidi kuboresha maslahi ya wakulima wa zao hilo.
...
Imewekwa: June 28th, 2022
Maana ya Sensa ya Watu na Makazi
Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu...