Imewekwa: February 1st, 2019
Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bi. Sophia J. Kumbuli ametoa eneo la hekari mbili (2) kwa ajili ya ujenzi wa ghala na soko la madini katika kata ya Mbugani kijiji cha Kiwanja...
Imewekwa: December 31st, 2018
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mheshimiwa MarryPrisca Mahundi leo amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali wadogo. Zoezi hilo limefanyika katika ukumbi wa Halmashauri (Sapanj...
Imewekwa: December 10th, 2018
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana chama cha mapinduzi NDG KHERI D.JAMES alitembelea wilaya ya chunya katika ziara zake za kikazi Mkoani Mbeya.
Katika ziara hiyo wilayani Chunya, alipata nafasi ya...