Daraja lilokuwa limevunjika na kufungwa kutumika na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Albert Chalamila limefunguliwa leo Rasmi.Daraja hilo ni kiunganishi cha Makao Makuu ya Wilaya na Miji ya Makongolosi, Lupa, Matwiga na Kambikatoto.
Limefunguliwa na Mkuu wa Wilaya Chunya Eng. Maryprisca Mahundi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo tarehe 8/01/2020
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.