Tume ya Huru ya Uchaguzi ya Taifa Jimbo la Lupa imetoa orodha ya watu walio itwa kuhudhuria Mafunzo ya kuboresha Daftari la Kudumu la Mpiga Kura linalo taraji kuanza tarehe 23/12/2024 mpaka tarehe 24/12/2024. Mafunzo hayo yanataraji kufanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya na yataanza saa moja na nusu asubuhi
Ili kuona orodha hiyo tafadhali bonyeza Kiunganishi kifuatacho hapa Chini:
https://chunyadc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/WALIOITWA%20KWENYE%20MAFUNZO_compressed.pdf
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.