TANGAZO
Mkuu wa wilaya ya chunya Mhe. Mayeka S. Mayeka anawakaribisha wananchi wote kujitokeza katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru utakao wasili Halmashauri ya Chunya siku ya Alhamisi tarehe 08.09.2022 kuanzia saa 07:00 kamili za Asubuhi
Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yatafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Chalangwa, ambapo mwenge wa Uhuru Utatembelea, utazindua na utaweka mawe ya msingi katika Miradi sita {6} ya Maendeleo kama ifuatavyo
Mkesha wa mwenge wa Uhuru utafanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Matundasi, ambapo vikundi mbalimbali vya Burudani vitatumbuiza na, wasanii wa bongo fleva watakuwepo.
Hii siyo yakukosa mtu wangu Tangazo hili limetolewa na Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe Mayeka S. Mayeka
MWENGE WA UHURU MWAKA 2022 KARIBU HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.