Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe. Mayeka S. Mayeka leo amefungua mafunzo ya Mgambo katika tarafa ya kipembawe Kata ya Lupa kijiji cha lupa tingatinga Wilayani humo, jumla ya wana mgambo 84 wameanza mafunzo, pamoja na mambo mengine watajifunza uzalendo, utawala na usalama wa raia.
Mkutano wa Baraza la Madiwani kwa Robo ya Nne
Kikao cha Kawaida cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Chunya kwa robo ya Nne
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.