• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

Video

  • CHUNYA DC YA KABIDHI VYUMBA 110 VYA MADARASA KWA RC MBEYA.

    January 17th, 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Juma Homera ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwa kusimamia kikamilifu na kufanikisha Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi wa vyumba vya madarasa inayotekelezwa kupitia Fedha za Mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO 19.Mh. Homera ametoa pongezi hizo katika Hafla ya Uzinduzi iliyofanyika katika Shule ya Sekondari Lupa kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kukamilisha Ujenzi wa vyumba 110 kwa asilimia 100, Ikiwa sambamba na Ukamilishaji wa Madawati pamoja na viti."Mimi nimefarijika sana nimeyaona madarasa yamependeza na nikiritu kwamba nimeyapokea yote 110 Ahsanteni sana" Mh Homera Mkuu wa mkoa wa MbeyaPia alisema Wanafunzi 3288 waliopangiwa kujiunga na kitado cha kwanza katika wilaya ya chunya watakaa kwenye madawati na madarasa yaliyokamilika, sambamba na hilo halmashauri ya wilaya ya chunya inayo ziada ya madarasa 21.“Geografia ya wilaya ya chunya tunaifahamu mazingira yake ni magumu lakini pamoja na changamoto hizo nikupongeze Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi, Mwenyekiti wa halmashauri na wafanyakazi wote kwani mmefanikisha kuijenga miradi hii kwa kiwango cha hali ya juu sana ahsanteni”. Mh HomeraNiwapongeze pia wananchi wa halmashauri ya wilaya ya chunya kwa Ushirikiano mkubwa walio onyesha wakati wa kujenga madarasa haya na kuhakikisha miradi hii inakamilika kwa wakati.Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bw Tamim Kambona akitoa taarifa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Juma Homera wakati wa Hafla ya kukabidhi miradi hiyo, alieleza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya chunya ilipokea Shilingi 2,600,000,000.00 kwa ajili ya Ujenzi wa vyumba 110 vya Madarasa katika Sekta ya Elimu Msingi na Sekondari ambapo Ujenzi huo umekamilika kwa asilimia 100 ilikwa ni pamoja na utengenezaji wa Madawati 2360.Mkurugenzi Kambona alieleza kuwa kwa sekta ya Elimu Sekondari Halmashauri ilipokea kiasi cha Tshs. 900,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 45 vya madarasa katika shule 12 za sekondari pamoja na utengenezaji wa viti na meza, ambapo kwa sekta ya Elimu Msingi Halmashauri ilipokea kiasi cha Tshs. 1,300,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 65 vya madarasa katika vituo shikizi 20 ikiwa sambamba na utengenezaji wa meza na madawati.

  • MRADI WA BWAWA LA MATWIGA

    December 7th, 2019

    Mradi huu unatekelezwa kwa fedha za ndani

  • VITUO VYA KUPIGIA KURA CHUNYA

    October 10th, 2019

    MKURUGENZI MTENDAJO WA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA AKITOA WITO KWA WAKAZI WA CHUNYA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTA LA WAPIGA KURA KATIKA MAENEO YAO

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Zaidi

Habari Mpya

  • DC MAYEKA, VISHIKWAMBI VYA WALIMU WALIOPO MASOMONI VIHIFADHIWE.

    January 26, 2023
  • VIKUNDI VYA VIJANA WILAYANI CHUNYA VYANUFAIKA NA MKOPO WA 10%.

    January 25, 2023
  • WAZAZI WAFIKISHWA MAHAKANI KWA KUSHINDWA KUPELEKA WATOTO SEKONDARI.

    January 24, 2023
  • MWANGINDE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI LUALAJE.

    January 21, 2023
  • Zaidi

Video

CHUNYA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.