• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

MAMA NA MWANAYE WAKABIDHI DAWATI 41 SHULE YA MSINGI MATWIGA, CHUNYA

Imewekwa: May 19th, 2025

Madawati arobaini na moja (41) yaliyotengenezwa kwa ushirikiano wa Mama na mtoto wake yamekabidhiwa Shule ya Msingi Matwiga iliyopo kata ya Matwiga Halmashauri ya wilaya ya Chunya, kwa lengo la kusaidia wanafunzi katika zoezi la ujifunzaji na ufundishaji jambo ambalo litaleta hamasa ya kusoma bidii kwa wanafunzi wa Shule hiyo

Wakizungumza mapema leo tarehe 19/05/2025 wakati wakikabidhi wadawati hayo zoezi lililofanyika kwenye viwanja vya shule ya msngi Matwiga, mama na mwanaye wamesema maono ya kutoa madawati hayo yametokana na namna walivyoshirikishwa uhaba wa madawati shuleni hapo lakini moyo wa kutoka ulimo ndani yao ndiyo msukumo mkubwa wa kutengeneza madawati hayo

“Wazo la kutoa dawati hizi lilitoka kwa mwanangu na mimi niliamua kumuunga mkono kwa kutengeneza dawati 10 wakati yeye ametengeneza dawati 31 hivyo kufanya jumla ya madawati arobaini na moja. Niwaombe wakinamama wenzangu  na hata vijana wengine kukumbuka kwao kwa kutumia mali au fedha ambazo Mungu amewapatia” Amesema Mhe Neema Mwakaniemba (Mama yake Lusajo)

“Kupata wazo ni jambo moja lakini kuchukua hatua ni jambo lingine, nilipopata wazo la kuleta dawati hapa shuleni nilimshirikisha Mama yangu lakini nilimhirikisha Mke wangu wote walinielewa ndipo nikaanza kutengeneza dawati hizi. Jambo kubwa nililolifikiri ni watu gani na wangapi nitawasaidia ndicho kilichonisukumu kufanya hivi, hivyo kijana Lusajo amesema kutaja gharama iliyotumika sio jambo muhimu kwangu” Amesmea Lusajo Mwakibibi

Diwani wa kata ya Matwiga Mhe Frank Malambughi amemshukuru Mhe Neema Mwakaniemba (Diwani viti maalumu Halmashauri ya wilaya ya Chunya kutokea kata ya Matwiga) pamoja na mwanaye kwa msaada wa madwati hayo huku akiwasisitiza wananchi wa Matwiga na hata wananchi wa Tanzania kwa ujumla kutumia tukio hilo kama Mfano bora na wa kuigwa

Naye Afisa Elimu kata ya Matwiga Mwalimu Monica Kulanga amesema tendo la kutoa madawati hayo kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Matwiga ni la Kiroho maana Malaika wa Mungu (Wanafunzi) wa kila hali wakiwepo yatima na wanafunzi mbalimbali watatumia kukalia wawapo darasa.

Mwalim Mkuu wa Shule ya Msingi Matwiga mwalimu Godfrey Kikoti ameshukuru sana wadau kutoa madawati hayo kwa Shule yake, akiongeza kuwa yatasaidia sana kupunguza wanafunzi kukaa wengi kwenye dawati moja jambo ambalo haliwavutii wanafunzi kupenda shule lakini uwepo wa madawati haya kutaongeza motisha kwa wanafunzi ya kusoma, motisha ya kufundisha kwa walimu pia itaongezeka

Madawati hayo yametolewa na Mhe Neema Mwakaniemba Diwani wa Viti maalumu Halmashauri ya wilaya ya Chunya pamoja na motto wake Ndugu Lusajo Mwakibibi na yamepokelwa na mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Matwiga huku Diwani wa Kata ya Matwiga Mhe Frank E. Malambughi na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakishuhudia makabidhiano hayo

Baadhi ya Madawati yaliokabidhiwa leo katika Shule ya Msingi Matwiga iliyopo kata ya Matwiga Halmashauri ya wilaya ya Chunya

Baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali pamoja na wananchi wachache walioshuhudia zoezi la kukabidhi madawati mapema leo katika shule ya msingi Matwiga

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA LUPA December 21, 2024
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 July 17, 2022
  • Orodha ya walioitwa kwenye usaili Maombi ya kazi za sensa_Chunya_2022 July 17, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI 2022, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA July 22, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • WAZIRI MCHENGERWA AWATAKA MAAFISA HABARI KUTOA TAARIFA SAHIHI KWA WANANCHI

    May 23, 2025
  • MAMA NA MWANAYE WAKABIDHI DAWATI 41 SHULE YA MSINGI MATWIGA, CHUNYA

    May 19, 2025
  • DC BATENGA, "HAKIKISHENI MNAMILIKI ARDHI"

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI WELEDI NA UFANISI KAMA MLIVYOAMINIWA

    April 29, 2025
  • Zaidi

Video

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 025 2520121

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.