Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Chunya anawajulisha wananchi wa wilaya ya Chunya kuhakikisha wanajiridhisha juu ya mipaka ya Uchaguzi kwa uchaguzi unaotaraji kufanyika Novemba 27, 2024 ambapo viongozi wa vijiji na vitongoji watachaguliwa ili kuongoza kwa kipindi cha Miaka mitano mingine
Kwa kutambua mipaka hiyo itakusaidia kujua eneo lako la Uchaguzi linaanzia wapi na linaishia wapi na kama wewe ni mgombea basi unawatambua wapiga kura wako na kama wewe ni mwananchi wa kawaida unajiandaa kushiriki uchaguzi kwa kupiga kura hivyo kupitia kuyatambua maeneo hayo itakusaidia kujua ni Mgombea yupi anafaa kuwa kiongozi kwa kipindi cha Miaka mitano ijayo
Bonyeza kiunganishi hiki https://chunyadc.go.tz/announcement/hii-ndio-mipaka-ya-vijiji-na-vitongoji-vitakavyoshiriki-uchaguzi-novemba-27-2024 kiyakupeleka kwenye orodha ya vijiji na vitongozi vyote vitakavypshiriki Uchaguzi Chunya
“Serikali za mitaa, Sauti ya Wananchi; Jitokeze kushirki uchaguzi”
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.