Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila leo amezindua Chanjo ya magonjwa ya Surua, Rubella pamoja na Polyo katika kijiji cha Godima wilayani Chunya. Uzinduzi huo umefanyika kimkoa katika wilaya hiyo.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Godima, Mh. Mkuu wa mkoa aliwataka kuacha kuhusisha imani potofu na tiba zinazotelewa na serikali na kuwaeleza kuwa chanjo hiyo ambayo ni kwa watoto chini ya miaka mitano kuwa ni lazima na siyo jambo la hiyari.
Chanjo hiyo itadumu kwa siku tano katika mkoa wa Mbeya kuanzia siku hii ya leo 17.10.2019
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.