Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani unaotaraji kufanyika mwakani. Pamoja na Mambo mengine tayari Tume huru ya Uchaguzi imezipatia Asasi mbalimbali Kibali cha Uangalizi wa Zoezi la Uboreshaji wa Daftari unaotaraji kuanza karibuni.
Wananchi wa Chunya na watanzania kwa ujumla, tujiandae kujitokeza kujiandikisha au kurekebisha taarifa zetu kwenye Daftari la Mpiga kura kulingana na ratiba ya Tume huru ya Uchaguzi
Ili kuzijua Asasi zilizopewa kibali na Tume huru ya Uchaguzi fuata kiunganishi hiki hapa chini..
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.