Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Kiwanja kwa lengo la kuangalia hali ya mitihani inavyoendelea pamoja na kuwatia moyo katika mitihani yao.
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.