Mkuu wa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewakabidhi vifaa vya shule watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya kupinga utumikishwaji wa wa watoto duniani.
Aidha, Ofisi ya Ustawi wa Jamii ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imeahidi kuwasomesha watoto 10 kwenye vyuo vya ufundi stadi (Veta) kufikia mwezi januari mwaka 2020 ikiwa ni harakati za kuwaepusha na utumikishwaji kwenye mashamba na migodini.
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.