Tunapenda kuwataarifu wote mlioomba kazi ya karani wa data "DATA CLERK" Halmashauri ya wilaya ya Chunya na kupigiwa simu kwamba unahitajika kufika kwenye usahili ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 29/09/2021 na tarehe 30/09/2021.
Utaratibu ni kwamba ukifanikiwa kufanya vizuri kwenye usahili wa siku ya kwanza, 29/09/2021 ndipo utaingia na wa siku ya pili ambao ni 30/09/2021.
Mnakumbushwa kuja na vyeti vyetu halisi bila kusahau matokeo (Transcript).
Karibuni
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.